Mkuu siku hizi sijui nimezeeka ama vipi. Sio mfuatiliaji wa Tamthilia enzi zangu ningejua Tamthilia za channel zote. Hiyo Tunu ya maisha magic bongo/East siijui.Kuna tamthilia inaruhwa dstv sijui ni Maisha nagic bongo au East inaitwa tunu. Napenda wimbo wake can you help me please [emoji849]
Hapana sio yule aliyeigiza Siri ya mtungi Tunu Ni mwingine. Nakumbuka baada ya Hukumu ya Tunu nlimuonaga Tena anahojiwa na FEMA Tv talk show lakini kwenye maigizo hayupo kabisa.Naikumbuka hiyo, Tunu alivyoliwa kimasihara mara1 tu akapata ukimwi, yule jamaa yake yupo anaigiza ila kumbukumbu ya tunu inanitoka ila nahisi kama yule binti aliigiza siri ya mtungi bado nafanya kumbukumbu
Habari zenu wakuu.
Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile.
Ilikuwa Tamthilia nzuri sana yenye kuelimisha, Star aliyebeba jina la Tamthilia mwanadada Tunu sijawahi muona akiigiza sehemu nyingine yoyote baada ya Hukumu ya Tunu kuisha.
Kwa wanayefahamu Tunu alienda wapi? Na kwenye social media anatumia jina gani.
I miss her alot anakipaji na Ilikuwa bonge la Tamthilia.
Kitambo Sana mkuu.Mama yake anatumia hidaya njaidi mwanaume aliyetembea nae davi yeye na mama yake
Tino nae alikuwepo
Kitambo sana
Asante ni ivo ulivyoelezea weweKama sikosei alipata Ukimwi Wazazi wakamfukuza akaenda kijijini kwa Bibi yake. Huko nako full unyanyapaa
Hahaha. Hivi Roy ndo yule alikuwaga muuza duka??kuna yule Roy mpemba [emoji23][emoji23][emoji23] Alikua anasemaga "mshenzi sana weyeee"
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam sinema zetu hiyo tunuKuna tamthilia inaruhwa dstv sijui ni Maisha nagic bongo au East inaitwa tunu. Napenda wimbo wake can you help me please [emoji849]
ndio [emoji2][emoji2] alikua rafiki yake bwana wa tunuHahaha. Hivi Roy ndo yule alikuwaga muuza duka??