chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Ameen. Kwenye hio nyimbo kuna kaka hapo wa kizanzibar anaitwa Ahmada. Hujawahi kuskia skendo zake?
Story nyenginezo kumbe hajafa. Labda alizushiwa maana alikuwa anatoka na jamaa anaitwa Ahmada na inasemekana jamaa alikuwa na umeme na uliwaondoa watu wengi tu alowapitia akiwemo Omar Kopa. R. I. PAchaaa !! Kweli?? Jina lake kamili alikuwa nani?
Jamaa alikuwa na umeme...alowapitia wote saivi RIP, inasemekana na bi dada pia alikuwa 'ntuwe naehapana alifanyaje tena ahmada?? nakumbuka bibi kidude alitoa nyimbo ya ahmada umelewa.
Story nyenginezo kumbe hajafa. Labda alizushiwa maana alikuwa anatoka na jamaa anaitwa Ahmada na inasemekana jamaa alikuwa na umeme na uliwaondoa watu wengi tu alowapitia akiwemo Omar Kopa. R. I. P
Ndio ule 'mbona hunipendi, hunitaki...kwenye dance floor umeganda na washkaji!!?' au sio?2003 nadhani ndio ulitoka, enzi hizo tunavizia channel 10 mida ya saa tatu usiku mshua akimaliza kucheku taarifa ya habari, nilitokea kuupenda wimbo huu na wa mad ice baby gal.
Ahmada alikuwa anakula machoko wala hajifichi. Sasa na huyu dada pia alitoka nae. Na wote walikuwa kwenye tasnia ya mziki. Ila Ahmada hakuwa anaimba nadhani alikuwa sponsor sijui. Kitambo sn....wakati huo znz kisiwa kdg lkn mambo yake yalikuwa hatareeeeahmada mwanaume omar kopa mwanaume hapa imekaaje au chain huyu kala huyu huyu kaliwe na yule
Ahmada alikuwa anakula machoko wala hajifichi. Sasa na huyu dada pia alitoka nae. Na wote walikuwa kwenye tasnia ya mziki. Ila Ahmada hakuwa anaimba nadhani alikuwa sponsor sijui. Kitambo sn....wakati huo znz kisiwa kdg lkn mambo yake yalikuwa hatareeee
Kila kitu nachofanya unaona hakifai baby gal,Ndio ule 'mbona hunipendi, hunitaki...kwenye dance floor umeganda na washkaji!!?' au sio?
Jana umesema kwa uzi wako nisikuzoee tena kwakashfa ova nimewahi kukutaka🥴..sijui nilileta mazoea yapi..leo unasema nikupm..! Aisee..Ni PM
Kumbukumbu zinanambia bwana wake ndio alidedi, bwan chuchuAlifariki mbona kitambo sn
Ni PMJana umesema kwa uzi wako nisikuzoee tena kwakashfa ova nimewahi kukutaka🥴..sijui nilileta mazoea yapi..leo unasema nikupm..! Aisee..
Ulishawahi kumuonja?Yuko kenya happo na sudan..mumewe msudan..mtamu balaa mumewe😤
Shilingi mia mojaaaaaa🎼🎵🎵Usisahauu salamaaaa na hao machangudoaaaaa 🎶🎶🎶🎶🎶
Mr PaulMimi nataka kujua aliyeimba chorus
Rah P yupo USSijui Enika nae yupo wapi daah, Rah p nae sijui wapo wapi
itaja kukuokoaaaa eeeh 🎶🎶🎶🎶Shilingi mia mojaaaaaa🎼🎵🎵
Enika yupo mwaka 2017 Kuna project moja tulikuwa nayeHivi enika ni mzima?sio ashafariki? Au ndo kakake alofariki producer!