chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Ameen. Kwenye hio nyimbo kuna kaka hapo wa kizanzibar anaitwa Ahmada. Hujawahi kuskia skendo zake?
hapana alifanyaje tena ahmada?? nakumbuka bibi kidude alitoa nyimbo ya ahmada umelewa.