Yuko wapi V2 aliyeimba Nasonga mbele?

Yuko wapi V2 aliyeimba Nasonga mbele?

Attachments

  • Screenshot_20230814-213222_Instagram.jpg
    Screenshot_20230814-213222_Instagram.jpg
    30.1 KB · Views: 7
2003 nadhani ndio ulitoka, enzi hizo tunavizia channel 10 mida ya saa tatu usiku mshua akimaliza kucheki taarifa ya habari, nilitokea kuupenda wimbo huu na wa mad ice baby gal., ni nyimbo ambazo zilirudiwa rudiwa sana kwa kipindi kirefu.
 
Back
Top Bottom