Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

mwaka 1995 nilikosea nikapanda tawaqal mbeya dar,kwanza ile asubuhi pale stand aliletwa na teksi halafu wakambeba kutoka kwenye teksi mpaka kwenye usukani,kwa kweli sikufurahia safari manake huo mwendo ni Mungu anajua,tulifika Dar saa tisa mchana

Alikuwa mlevi anavuta fegi na anakula mirungi na anakula yale mavilevi ya wahindi na waarabu sijui tambuu sijui nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata kambwangwa ana historia yake

Ova
Hao ndio almaarufu wa Mwananyamala wakiongizwa na Mwinyijuma pale ilipozaliwa Tanu then mzee Kambangwa, mzee Komakoma pale A alikuwepo mzee Majambo ukienda kulia unamkuta mzee Kopa kule B unamkuta Manjunju na mama Zakaria ukirudi tena komakoma unamkuta mzee Kamtawa Said Tanu na mbele yake ndio kwa Songambele.

Kitambo sana!

Kuna mshikaji wangu anaitwa Ally King bado yuko mitaa ya komakoma na Ras Saidina Mwale!
 
Mzee mwinjuma yeye aliwapa ccm eneo lake lote haha hawakuwambuka hata familia yake
Kambwangwa alikuwa mjanja alipofatwa wakati wa kujenga nhc,alipozwa pesa na eneo lile mpaka leo ana nyumba 3 alipewa
Kuna wazee wengine wa zamani walikiwa na akili sana kama akina songambele

Ova
 
Atamzuga nani wakati watu wapo hiyo road kila siku wanajua hadi wapi kuna shimo na wapi hakuna shimo na leo yupo dar kesho mbeya kipi ambacho kitakua kigeni kwake Mkuu hao wanayajua hadi magari ya kampuni za coca au bia ambayo yalikua yanatoka mbeya wanapishana kila siku kona za hiyovi anakwambia Kona mbili zijazo tutakutana na roli la coca kwa sababu wapo humo kila siku na muda wa magari ya kampuni zingine wanajua pia ila wewe ukiambiwa utashangaa kweli...
Unajua chanzo cha Giriki kufingiwa kuendesha gari za abiria? Ni hivi Shabiby ndio kwanza alikuwa ameanza route ya Songea, hivyo madereva wakae walikuwa hawana uzoefu na hiyo barabara. Giriki akatumia mbinu hii chafu ya kuchomoa fuse za break kitu ambacho kilisababisha ajali mbaya sana ya basi la Shabiby katika kona za Lukumburu.
 
Mzee mwinjuma yeye aliwapa ccm eneo lake lote haha hawakuwambuka hata familia yake
Kambwangwa alikuwa mjanja alipofatwa wakati wa kujenga nhc,alipozwa pesa na eneo lile mpaka leo ana nyumba 3 alipewa
Kuna wazee wengine wa zamani walikiwa na akili sana kama akina songambele

Ova
Songambele yupi mnazungumzia wa songea au?
 
Rc mstaafu..mustafa songambele

Ova
Hata simjui, ila songea kule kuna eneo kubwa na nyumba nzuri zipo km 8 hivi, ndo wanapaita kwa songambele, sasa sijui ni huyo, ila nasikia alikua mtumishi wa serikali kastaafu, japo sijawahi kumuona huyo mzee mwenyewe.
 
Ni kwake basi,maana songea ndy kwao
Kawekeza sana tokea enzi za nyerere

Ova
 
Hata simjui, ila songea kule kuna eneo kubwa na nyumba nzuri zipo km 8 hivi, ndo wanapaita kwa songambele, sasa sijui ni huyo, ila nasikia alikua mtumishi wa serikali kastaafu, japo sijawahi kumuona huyo mzee mwenyewe.
Yupo kinondoni mwananyamala
Kwake

Ova
 
Back
Top Bottom