Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Kuna ndugu yangu alikuwa dereva kipindi hicho anasema Giriki alikuwa ana disconnect taa za nyuma za brake hivyo kama unamfata anavyoshuka miteremko ukiamini haitumii breki lazima upotee au kupata ajali.
 
Giriki ni Survival..madereva wa enzi zake 99% wameondoka na Ngwengwe!
 
Mkuu huyu Giriki simjui ila wanaomjua mambo zake wapo humu wanathibitisha makorokocho yake ya udereva.
 
Umesema kweli mkuu

Widambe alikufa, Makete alifirisika na Lupelo aliuza kampuni kwa masista yeye akahamia Uingereza!
Hivi comfort hotel alivyofilisika hawakurudi tenaaa
Ila mbn ilula Hotel pale kwa wasomali mpk leo wapo au nao wamepwaya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…