The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kama alifanya hivyo haikuwa sawa alikuwa selfish kwasababu nia yake wengine wapate ajali. Ni muuaji siyo wakusifiwa. Ni kama wahuni tu wanaongoa vibao vya road signsAlikuwa ana disconnect waya wa TAA za brake ukimfuata nyuma kwa kumtegemea TAA zake unapotea
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yes alikuja kwa spidi nzuri,baadae nae akapotea.Matema beach naye alikuja vzr ila mwishowe akafeli
Ova
Zainabu bado anadunda mpaka leo?Zainabu bus mkongwe naye
Ova
Sasa kwa Nini huyu giriki alikuwa anafanya hivi?Kuna mwaka fulan naskia aliingiza Basi songea saa tisa na nusu likitokea dar,Alikuwa ana disconnect waya wa TAA za brake ukimfuata nyuma kwa kumtegemea TAA zake unapotea
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Giriki ni kweli alikua anakimbiza sana bus na sifa yake kuu hajawahi pata ajali alikua makini mno mimi nimepanda bus zote alizoendesha maana kila mwenye bus mpya anapanda dau ili kutengeneza soko ila zingine ni chai tuu sio katili wala hana roho mbaya ya kuwasababishia watu ajali na alikua na roho ngumu mno kwa kutowaogopa trafiki na polisi yeye dakika chache kupelekwa central bus na abiria ilikua kitu cha kawaida ilifikia mpaka RTO wa Iringa akatoa angalizo kwake akipita na bus yeyote akiiendesha ataenda jela ikabidi abadili njia ya Mwanza aliipoona wanamfatilia akaingia kwenye maroli ya songea yanayobeba makaa ya mawe sasa hivi alikua kwenye roli za Tanzania zinazopeleka mizigo DRC mimi mwenyewe alikua rafiki wa ndugu yangu ila nikiona dereva ni yeye hilo bus narudisha tiketi nisharudisha mara mbili ukikata unaambiwa dereva sio giriki baadae ukimuona unaleta uzushi na tiketi wanarudisha fedha kwa sababu ishu ikiwa mbaya wanajua jamaa ana misala vituo vyote vya barabarani bora mmalizane mnazi mmoja hapo...Mkuu huyu Giriki simjui ila wanaomjua mambo zake wapo humu wanathibitisha makorokocho yake ya udereva.
DAh! Kwa hiyo Tate umepanda zile Bus za Charongite, Bangaseka na Said Abeid toka Ifakara to Namwawala!mtemiwaWandamba! Hawijeee!!! Hawijeee!! Kaimuka Bamboo!! Ha ha ha! Long time kitambo!
Nimeishi kwa miaka mingi sana huko Kilombero miaka ile ya 90's mpaka mwanzoni mwa 2000!! Nimeishi Nyandeo, Mang'ula, Ifakara, Mahenge, Namwawala, Chita,nk.
Shahruk's yalikuwa mabasi ya Abbasi Gulamali, alikuwa ndio 'Mo' wa Yanga enzi hizo. Aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilombero miaka ya 1990sSharuksi nazo ziliishia wapi? Nakumbuka zilikuwa zinaandikwa majina ya wachezaji wa Yanga wa kipindi hicho (1990 - 1992) mfano Thomas Kipese.
Kule kule ambapo Sukita na mabasi ya wanafunzi Dar yalifiaHivi mabasi ya Scandinavia yalifia wapi?
Kafa na utajiri wakeSharuks zilikuwa Dsm - Kilombero mmiliki wake alikuwa Abbas Gulamali wa Yanga!
Jah people kabaki na malori ya mizigo tuM
Makete bus Njombe - Dsm mkatisha tiketi alikuwa mbunge Jah people!
Unashangaa maisha ya 80's enzi za akina Michael Jackson, Whitney Houston, Mbilia bell etc shangaa maisha ya 20's. Maisha yanaenda mbio.80's kama juzi tuMiaka ya themanini huko mlikuwa mnaishije jamani
Huyu tajiri alikuwa wa Mbozi mkoani Songwe, sijajua kapotelea wapi. Lkn alihamia ktk maloriBasi la hekima mbeya dar sijui lilipotelea wapi
Waliodumu kwenye hii biashara hata kumi hawafiki.............Ila biashara ya mabasi kichaa
Inataka umakini,uwe bahiri kweli
Watu wengi wamefilisika...
Ova
Kuna siku nikiwa mtoto nilikabidhiwa kwenye kiswele Dar-songea ..kufika tanangozi gari ikashika Moto bahati nzuri abiria wote tulipona lkn mizigo iliungua..nilikuwa mdogo hata sijui nilitokaje kwenye Basi mule....konda kajisahau anakumbuka kwamba alikabidhiwa mtoto gari limeshateketea..ananitafuta kumbe mie nilijiokoa kitamboDaaah. Na sisi wa enzi za Kiswele na Comfort tujikumbushege basi
Mizigo inalipa mno kuliko hata hao abiriaTaqwa inaypiga route ya kwenda kongo
Inatembea,nshaipanda sana cha ajabu inajaza mizigo kuliko abiria
Ova
Saizi kabaki na hotel tu, hana malori.Huyu tajiri alikuwa wa Mbozi mkoani Songwe, sijajua kapotelea wapi. Lkn alihamia ktk malori