Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Enzi za BUNDA BUS, zilikua moto balaa, mmiliki wake alishakufa kitambo, ni mwarabu. Mshkaji alikua peace and love

TAWFIQ NA TAKRIM TOURS kama mnazikumbuka enzi zake.


NAJMUNISA

JORDAN

MOHAMED TRANS

TANGANYIKA BUS

ZAKARIA
 
Yule jamaa alikuwa akipita mafinga pale akitokea tunduma kuanzia changarawe ni full bati watu wakiiona utasikia kisu hicho pisheni! na amewahi endesha basi la songea-mbeya likiitwa Turbo express hatari sana huyu mwamba,where are you my legend?
 
Dah,jamaa ana moyo wa chuma.
 
Dah ndugu umekumbuka hadi leyland victory wengi walisema ni mbadala wa scania KAMATA walikuwa wa kwanza kuzimiliki kwa kweli zilikuwa zinajitahidi sana milimani.
 
Kuna moja iliandikwa ez come ez go posta-mwenge ilikuwa bomba sana.
 
Usiwe mbishi wewe,shabiby iliua wate akapona mtoto mdogo kwa ujinga huu
Dreva alifanyiwa ujinga huu
Jamaa Taa za break alitoa
 
Usiwe mbishi wewe,shabiby iliua wate akapona mtoto mdogo kwa ujinga huu
Dreva alifanyiwa ujinga huu
Jamaa Taa za break alitoa
Kama iliua wote wewe umejuaje kama sio habari za kupika hizo kwanye ajali yaani yeye awe anasababisha tuu ajali kwa wengine harafu yeye awe anapona miaka nenda miaka rudi akili za wapi hizo ushawahi kuendesha bus wewe likiwa mwendo wa kasi ni kama karatasi na mtu anaogopa gari ya kutoka nyuma sio mbele inapotokea ajali ya nyuma ni rahisi gari kuchochora zaidi...gari ya nani uguse taa ya breki akuangalie wakati hiyo kesi ya mwendokasi tuu alikua anafukuzwa kazi...
 
Matema na kiswele walikuwa na scania injini nyuma kuna isuzu mv 118 ya matema maarufu mv utelezi ikifika tambalale scania zilisanda!
we kweli kitambo
Mv 118 zilikuwa zinakimbia sana Sadiq line wa dar moro alikuwa nazo, Mwendowa saa , matema beach etc .
hazikuhudumu miaka mingi zote zikawa hoi zimechoka , zilizobaki sasa ni staff bus kwa baadhi ya taasisi za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…