Yuko wapi Yusuph Mlela?

Yuko wapi Yusuph Mlela?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena
 
Yusuph Mlela kwa kipindi kirefu alikuwa nchini Kenya pale Mombasa..katika project ya 'Kashfa' ambayo imekamilika na kwa sasa imepata nafasi ya kuoneshwa katika kituo bora kabisa nchini cha Azam Tv. Kwa sasa jamaa amerudi nchini na project zinaendelea kama kawaida!
 
Screenshot_2016-09-26-23-10-36.png
Screenshot_2016-09-26-23-10-25.png
Screenshot_2016-09-26-23-10-08.png
Screenshot_2016-09-26-23-10-18.png
uyo apo yupo mombasa anapiga kazi
 
Back
Top Bottom