Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
....Hivi mbona jana JK hakuhojiwa na Rose MWAKITWANGE kama ilivyokuwa imepangwa ....maana yule dada ASHA MTWANGI aliyemuhoji ni moja ya waajiriwa wa IKULU chini ya kurugenzi ya habari ........inayoongozwa na SALVA RWEYEMAMU...na kuna wengine pale wakiwamo waandishi wasaidizi waandamizi ie Primi Kabanga...na wengine waandishi ambapo mmoja wao ni Huyu ASHA MTWANGI....
SO tuseme mahojiano ya jana yaliandaliwa na kuendeshwa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais.....
Asha Mtwangi siyo mtumishi wa Ikulu tena.. alikuwa enzi za kipindi cha awamu ya tatu.
Sasa hivi anafanya kazi kwenye International NGO moja ya kimarekani
na uniceflakini amewahi kufanya kazi na timu hiyo hiyo na chini ya bosi huyo huyo au alikuwa Ikulu wakati wa Mkapa?
Asha Mtwangi siyo mtumishi wa Ikulu tena.. alikuwa enzi za kipindi cha awamu ya tatu.
Sasa hivi anafanya kazi kwenye International NGO moja ya kimarekani
Mimi sikuona mwanzoni, kwani wakati anaanza kumhoji Rais hakujitambulisha nafasi yake ili awe amedeclare interests? Au hawakuona a major conflict of interests kwa mwajiriwa kumhoji mwajiri wake hasa mwajiri huyo akiwa ndiye Rais? I hope its not true aisee maana vikashfa vingine haviingii hata akilini..
angeanguka aisee... kuna maswali yanaweza kukupa presha... yeye ameomba wengine wakubali matokeo tu, hayo ya yeye kukubakli ni issue nyingineHivi kwanini hawakumuuliza kama akishindwa atakubali matokeo? that is the only question I wanted to hear his response to.
anajua sana, ila ni ku-poke thread aiseeUsijifanye hujui!
lakini amewahi kufanya kazi na timu hiyo hiyo na chini ya bosi huyo huyo au alikuwa Ikulu wakati wa Mkapa?