Sidhani, kazi alizomshirikisha hawezi kumweka pembeni, pembeni ni kumuondoa kimoja, atatoa siri kinyume cha hivyoYule bwana wa mkoa fulani ambaye wengi wanamnasibu ni mtoto pendwa wa mkuu wa taifa sasa kimya matamko yote kwisha na sasa kila mtu anawajibika kwa sehem yake...
Ile clip ya mdudu kaa inapigwa na redio fulan nayo imepunguwa
Je wajuwa nini kimetokea....
Hehhehhe achachezea Magufuli chezea mkeo na totozako...
Yeye hajaribiwi.....
Wala serikali yake haina mshikaji...
Kama huamini tulia uone uondo wa picha kuelekea 2020...
Huenda anatubu kama walivyoaswa na Kakobe yeye na Baba yake.
Ila sina hakika kama TOBA yao itakubaliwa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Si tuliambiwa ndio mratibu wa waganga Na waganguzi wa kusafisha jumba la kipi baada ya baba mwenye nyumba kujikuta kalala kwenye mabanda ya tausi?
Si tuliambiwa ndio mratibu wa waganga Na waganguzi wa kusafisha jumba la kipi baada ya baba mwenye nyumba kujikuta kalala kwenye mabanda ya tausi?
Aisee,uwe na huruma! Unataka akaanze kujiliza kwa kwikwi makanisani?Cheti kwanza
Kwani ana kipi kilichozidi mwilini mwake? Oooh!Nimekumbuka.Basi.Kaenda kupunguza mananiliu?
Ingeibua shangwe kitaa!Mimi nikajua kafwariki!
Kwa pengo pekee kwingine milango imefungwa!Aisee,uwe na huruma! Unataka akaanze kujiliza kwa kwikwi makanisani?
Aiyaaaaaa!Akiona hii komenti ataanza kulia kwa yowe kama msukuma kaibiwa kuku.Kwa pengo pekee kwingine milango imefungwa!