Tetesi: Yule Bwana sasa ameka kimya

Tetesi: Yule Bwana sasa ameka kimya

Sidhani, kazi alizomshirikisha hawezi kumweka pembeni, pembeni ni kumuondoa kimoja, atatoa siri kinyume cha hivyo
Kuliko ifikie kutoa siri atafutwa duniani.

Banyamulenge si mtanzania au huelewi hilo mpaka sasa?
 
"Usipo badilika utakufa" hii ni 2016
"Utubu dhambi" hii ni 2017
Huwa najiuliza kuna nini kwenye haya maneno na wanamwambia nani?
 
Si tuliambiwa ndio mratibu wa waganga Na waganguzi wa kusafisha jumba la kipi baada ya baba mwenye nyumba kujikuta kalala kwenye mabanda ya tausi?
Na Bashite anamchezea haswa baba mwenye nyumba,
Kipindi cha vyeti feki kilipopamba moto baba mwenye nyumba alikuwa ameshaamua kumfuta kazi jumla, Bashite kupata taarifa hizo akaenda kuongea na wataalam wake usiku huo huo wataalamu wakamlaza dingi nje.
Asubuhi yake story ikabidi ibadilike Bashite akapewa kazi ya kufuatilia hilo suala kwa wataalam
 
Si tuliambiwa ndio mratibu wa waganga Na waganguzi wa kusafisha jumba la kipi baada ya baba mwenye nyumba kujikuta kalala kwenye mabanda ya tausi?
I'm curious to understand something from this but my mind is so slow to grasp anything, funguka kidogo mkuu
 
Na Bashite anamchezea haswa baba mwenye nyumba,
Kipindi cha vyeti feki kilipopamba moto baba mwenye nyumba alikuwa ameshaamua kumfuta kazi jumla, Bashite kupata taarifa hizo akaenda kuongea na wataalam wake usiku huo huo wataalamu wakamlaza dingi nje.
Asubuhi yake story ikabidi ibadilike Bashite akapewa kazi ya kufuatilia hilo suala kwa wataalam
Halafu BASHITE ni mlokole mchawi
 
Yuko China apparently wana mpango wa kufungua pharmacy kubwa sana yeye na baba yake eti itakuwa ya kuwasaidia wanyonge
 
Yule bwana wa mkoa fulani ambaye wengi wanamnasibu ni mtoto pendwa wa mkuu wa taifa sasa kimya matamko yote kwisha na sasa kila mtu anawajibika kwa sehem yake...
Ile clip ya mdudu kaa inapigwa na redio fulan nayo imepunguwa
Je wajuwa nini kimetokea....
Hehhehhe achachezea Magufuli chezea mkeo na totozako...
Yeye hajaribiwi.....
Wala serikali yake haina mshikaji...
Kama huamini tulia uone uondo wa picha kuelekea 2020...

halafu kwa chuki hizi, unaenda kanisani au msikitini

unalisha familia yako kwa majungu

na uwezekano mkubwa wewe pia ndio muuaji!
 
Yule bwana wa mkoa fulani ambaye wengi wanamnasibu ni mtoto pendwa wa mkuu wa taifa sasa kimya matamko yote kwisha na sasa kila mtu anawajibika kwa sehem yake...
Ile clip ya mdudu kaa inapigwa na redio fulan nayo imepunguwa
Je wajuwa nini kimetokea....
Hehhehhe achachezea Magufuli chezea mkeo na totozako...
Yeye hajaribiwi.....
Wala serikali yake haina mshikaji...
Kama huamini tulia uone uondo wa picha kuelekea 2020...

Mtoto Penda Iko China, Anakula Dunia
 
IMG-20171228-WA0037.jpg

Karibuni kwenye kipindi
 
Back
Top Bottom