Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

Na nyie ' Wasanii ' wa Kibongo muwe mnaangalia na ' Mademu ' wa kuwa na kuzaa nao. Nadhani katika ' Mademu ' wote ambao nimewahi kuambiwa / kusikia kwamba wametoka au wanatoka ' Kimahusiano / Kibaiolojia / Kingono ' na Ali Kiba huyu anayeonekana ' pichani ' ni mbaya kuliko wote. Mimi pamoja na Umasikini / Ukapuku / Ungarambe wangu huu lakini sichukui ' Mademu ' wabaya na wenye ' Sura ' mbaya kama huyo aliyepewa Mimba na Kiba. Kumbe ndiyo maana Diamond yupo juu kwani hata ' Mademu ' zake wote ' anaowangono ' ni Wazuri na hadi sasa sijawahi kuona ' Demu ' yoyote wa Diamond aliye na ' Sura ' mbaya kama huyo hapo juu pichani.
 
Mademu wengi wenye sura kama 'kobe' huwa ni watamu na mafundi balaa!so we mwache Kiba ale raha mkuu!
 
Wazee wa single mama ..hii ni fursa kwenu
 
Hivi yule aliyeimba nae nitarejea yupoje, hata hamisa sio mzuri kivile jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…