Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

Yule demu wa Ali Kiba wa Mwanza naye adai kapata mimba

Unahitaji muda kweli kujua kwamba huyo manzi anampakazia mshkaji... Swali fikirishi.. HIZI PICHA ZIMEPIGWA NA MTU TOFAUTI NA HUYO KIBA NA DEMU.. je huyo mpiga picha alikuwa wapi?? Sijaona picha yoyote inayothibitisha kuwa KIBA kaweka hapo kwa manzi... Aachie picha kama zile za mobetto...
 
Haya ni matumizi mabaya ya ustaaa, demu gani huyo! Hata mzee kigogo mnyama kamshinda
 
Si kweli..ametoa clip inazagaa huko insta akisema amefungua kesi..ila demu ana pua huyu kama mfupa wa kongoro..ingia kwa shishi boy yule anae tukana ukamuone!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti pua km mfupa wa kongoro
 
Na nyie ' Wasanii ' wa Kibongo muwe mnaangalia na ' Mademu ' wa kuwa na kuzaa nao. Nadhani katika ' Mademu ' wote ambao nimewahi kuambiwa / kusikia kwamba wametoka au wanatoka ' Kimahusiano / Kibaiolojia / Kingono ' na Ali Kiba huyu anayeonekana ' pichani ' ni mbaya kuliko wote. Mimi pamoja na Umasikini / Ukapuku / Ungarambe wangu huu lakini sichukui ' Mademu ' wabaya na wenye ' Sura ' mbaya kama huyo aliyepewa Mimba na Kiba. Kumbe ndiyo maana Diamond yupo juu kwani hata ' Mademu ' zake wote ' anaowangono ' ni Wazuri na hadi sasa sijawahi kuona ' Demu ' yoyote wa Diamond aliye na ' Sura ' mbaya kama huyo hapo juu pichani.
Mbaya kwako jamani kwake ni mzuri mwacheni achague anaye mtaka mwenyewe kila mtu na test yake
 
Back
Top Bottom