Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Mambo Mengine Bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba pic yake akiwa amesimama tafadhaliKama kawaida ya Ali Kiba huwa hapendi kushindwa chochote na watu wa Madale.
This time around kamjibu Mond lakini kipindi hiki sio mziki tena!
View attachment 613032
View attachment 613034
View attachment 613035
View attachment 613036
View attachment 613037
HahahaLe king mswati, mbona dem kama anatumia nguvu sana kwenye hili penzi au nae anahisi atafanywa side chick of the decade?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti pua km mfupa wa kongoroSi kweli..ametoa clip inazagaa huko insta akisema amefungua kesi..ila demu ana pua huyu kama mfupa wa kongoro..ingia kwa shishi boy yule anae tukana ukamuone!
Mbaya kwako jamani kwake ni mzuri mwacheni achague anaye mtaka mwenyewe kila mtu na test yakeNa nyie ' Wasanii ' wa Kibongo muwe mnaangalia na ' Mademu ' wa kuwa na kuzaa nao. Nadhani katika ' Mademu ' wote ambao nimewahi kuambiwa / kusikia kwamba wametoka au wanatoka ' Kimahusiano / Kibaiolojia / Kingono ' na Ali Kiba huyu anayeonekana ' pichani ' ni mbaya kuliko wote. Mimi pamoja na Umasikini / Ukapuku / Ungarambe wangu huu lakini sichukui ' Mademu ' wabaya na wenye ' Sura ' mbaya kama huyo aliyepewa Mimba na Kiba. Kumbe ndiyo maana Diamond yupo juu kwani hata ' Mademu ' zake wote ' anaowangono ' ni Wazuri na hadi sasa sijawahi kuona ' Demu ' yoyote wa Diamond aliye na ' Sura ' mbaya kama huyo hapo juu pichani.