Yule dogo aliyekojolea quran aachiwa huru

Yule dogo aliyekojolea quran aachiwa huru

Huyo hatokua na amani tena itabidi alindwe. Jambia linamsubiri


Sent via EyePhone
 
... Eva ambae ni mtoto wa IMAM mmoja wa Bagamoyo aliekutana na Injili ya YESU na kuokolewa.Hata hivyo alijikuta ktk matatizo baada ya kutokea ubishi na wasichana wenzake ambao walimuambia kua akikojolea kuran atageuka mbuzi. Ni ktk mabishano hayo, Binti huyo ambae alikua Mwokovu mpya; alitekeleza ubishi huo kwa kuikojolea kuran na hakugeuka mbuzi kama ambavyo wenzake walidai. Hata hivyo inaaminika kuwa huo ulikua ni mtego ili wapate kumshitaki. ...

Dah umenikumbusha mbali sana! Kama Wayahudi (wengine hupenda kuwaita Mayahudi) walitenda vivyo hivyo kwa "MTI MKAVU" sembuse kwa "mbichi". Hizi hila za kishetani zimekuwepo tangu mwanzo wa nyakati kule Eden na zitaendelea kuwepo hadi ukamilifu wa dahari.

Watu wa Mungu watatikiswa na kusingiziwa kila aina ya hila lakini kwa imani watashinda. Lakini OLE wake yule awashitakiye wateule wa Mungu akidhani anamtumikia mungu wake kumbe amtumikia Shetani hakika mahali pake ni katika Ziwa lile liwakalo moto na kiberiti - ni suala la muda tu.

TUJIFUNZE KUVUMILIANA KATIKA IMANI NA SIO KUONA DINI ZETU NDIO BORA KULIKO ZA WENGINE.
 
Nimekupata sokoinei,naona umetafuta mpaka chanzo.lakini mabishano ya kidini sio mazuri kwani naamini sisi sote ni ndugu mimi nimwisilamu nimeoa kwa wakristo itakuaje tukianza kupigana? Tusifike huko kuichoma na kuizalilisha koraani ama biblia haimpendezi mwenyezi hivyo tusishangilie saana isije ikatugawa
 
my hero. alifanya research kujua kama kweli Allah yuko akagundua kumbe kanyaboya. waliohadaiwa na hiyo dini badala ya kumshukuru dogo kwa kuwaamsha wao wakaja juu. mwafrika ni tatizo!
 
Hatima yenu ni mahakama ya kadhi tu......

Mahakama ya kadhi itaendeshwa kwa fedha za nani? ikipitishwa tu naacha kulipa kodi sipo tayari kughalamia mishughuli ya kidini
 
Ndo uzuri wa sheria ausikilizi mboyoyo za watu (dini ya wachawi)
 
Taarifa nilizozipata punde yule dogo wa mbagala aliyekojolea quran na kuzua tafrani ya kufa mtu pande za mbagala ameachiwa huru. Imeonekana hana hatia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tupe source mkuu,
 
Mbona Ni kawaida tz watu kukamatwa na kuachiwa kwa makosa ya kashfa dhidi ya dini Hata yule Sheikh aliyesemaga kuwa Yesu si Mungu naye pia aliachiwa
 
kheee kwa ni huyu dogo hajawa chizi tu..si aliambiwa akikojolea korani atawehuka!!! au nilisikia vibaya
 
Dogo noma. hakuogopa kufa. vijana kama hawa tunawataka sana kwa jamii ya sasa.
 
kwanini alishtakiwa kwa kosa gani la jinai au madai? matatizo ya kukurupuka haya
 
Back
Top Bottom