Yule Jamaa Owner wa Zeutamu wamem-deadisha?

Asante ndugu yangu kwakunijuza. Hakika alizidisha uhuru uliovuka mipaka. Kumzaririsha mtu tu wakawaida kwa namna yoyote ile huwa patashika. Sasa vip unapomzaririsha mkuu wa nchi... Duuuuh
 
Una uhakika aliletwa kimya kimya
 
Hiyo ilikuwa ni blog yangu pendwa enzi hizo miaka ya 2009/2010, baada ya kupita mda Rahatupu ikaja kunipunguzia machungu, na y owner akaamua kuifunga baada ya sheria ya mitandao, sahvi naona iko hewani tena ila bado haijawa hot kama zamani
 
Mkuu kumbe ipo hewani[emoji15] [emoji15] nakumbuka nilikuwa naenda pale cafe maeneo ya k,koo na jero langu naangalia ze utamu nusu saa ,nasepa
 
Hiyo ilikuwa ni blog yangu pendwa enzi hizo miaka ya 2009/2010, baada ya kupita mda Rahatupu ikaja kunipunguzia machungu, na y owner akaamua kuifunga baada ya sheria ya mitandao, sahvi naona iko hewani tena ila bado haijawa hot kama zamani
Ze Utamu ilikuwepo 2009/2010?! Huo muda nadhani ilikuwa ishapigwa ban kitambo!
 
nieleweshe na mi nichangie King Kong III
Haaa Miaka ya 2008-2009 kulitokea Blog moja iliitwa ZeUtamu yaani ilikuwa balaa ilikuwa inachafua watu hatari kuanzia mtu wa uswahili hadi state house,yaani ilikuwa mtu unaangali blog kuona kama umewekwa au lah yaani ilikuwa soo mpaka ikafungiwa na kuanza kumtafuta aliyekuwa admin,kuna tetesi alikamatwa sasa ndio sijajua hatua gani alichukuliwa maana ilikuwa kimya kimya.
 
Yaliyomtokea ilikuwa ni siri yake, lakini yuko majuu, ameoa binti wa ki-bongo ana watoto wawili, anaendesha biashara ya software.
 
Yaliyomtokea ilikuwa ni siri yake, lakini yuko majuu, ameoa binti wa ki-bongo ana watoto wawili, anaendesha biashara ya software.
Du Si MChezo Kama yupo majuu ni kheri kwake nilijua bado Yupo Kwenye "Mikono SALAMA."
 
hahahahahahahaha hiyo blog balaaaa, umbea wa kimwendo kasi, embu nijaribu kuifungua na mimi,nilikuwa napitwa
 
mkuu king Kong mkwere alikuwa analiwa T*go??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…