Alikuwa anamiliki blog aliyoipa jina la ZE UTAMU kazi yake ilikuwa kudhalilisha watu maarufu na kupost picha zao za utupu, iwe kweli au kuzi edit, ikaja fika wakati akajisahau na kuanza kumshambuli kiongozi wa awamu ya nne kwa kumchora picha akiwa amezungukwa na kundi la mrengo wa kina camerron amechorwa akiwa mtupu watu wana "mcameroon" halafu kiongozi anachekaaaa kile kicheko chake meno yote nje. Hapo ndipo alipotafutwa na kuletwa kimya kimya mpaka sasa haijulikani kama alipewa adhabu gani maana hakuwahi kufikishwa mahakani hata mara moja.