Yule Jamaa Owner wa Zeutamu wamem-deadisha?

Yule Jamaa Owner wa Zeutamu wamem-deadisha?

Alikuwa anamiliki blog aliyoipa jina la ZE UTAMU kazi yake ilikuwa kudhalilisha watu maarufu na kupost picha zao za utupu, iwe kweli au kuzi edit, ikaja fika wakati akajisahau na kuanza kumshambuli kiongozi wa awamu ya nne kwa kumchora picha akiwa amezungukwa na kundi la mrengo wa kina camerron amechorwa akiwa mtupu watu wana "mcameroon" halafu kiongozi anachekaaaa kile kicheko chake meno yote nje. Hapo ndipo alipotafutwa na kuletwa kimya kimya mpaka sasa haijulikani kama alipewa adhabu gani maana hakuwahi kufikishwa mahakani hata mara moja.
Hahaha ila yule jamaa alikuwa ni mamba yao sana ..duh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hadi kesho ungeniuliza ningekuambia mmiliki alikuwa ni Le mutuz!! The king of all social network!! Mzee wa mibebez!the field marshall!
 
Mimi hadi kesho ungeniuliza ningekuambia mmiliki alikuwa ni Le mutuz!! The king of all social network!! Mzee wa mibebez!the field marshall!
Alikuwa na Undugu na Le Mutuz labda na yeye alikuwa ana post ma vituz baada ya kufingiwa zeUtamu na yeye Le Mutuz Nation akaja na blogu ya wananchi.
 
Back
Top Bottom