Yule Kamanda wa Polisi ambaye alishuhudia Kifo cha Mwandishi wa habari Daudi Mwangosi yuko wapi kwa sasa?

Brain Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
7,002
Reaction score
14,570
Kuna kauli imezoeleka ya malipo ni hapa hapa Duniani, hivyo basi samba samba na kauli hii elekezi, ndugu wadau na wajumbe wote naomba kujua alipo yule ambae alipewa tuzo ya kupandishwa Cheo na Mstaafu Kikwete wakati ule.

Tutaona mengi kwa kadri ya majaaliwa yake Mungu.

Gusa achia ni kwa wachache tu wenye pesa zao tu.
 
Yupo kilimahewa mwanza pale panatwa transfoma au karbu na mskit wakilolel pana gest yake na bar na duka la dawa.. pia nyumba yakuishi, mlaaniwa yulle.
 
Kuna kauli imezoeleka ya malipo ni hapa hapa Duniani, naomba kujua alipo yule ambae alipewa tuzo ya kupandishwa Cheo na Mstaafu Kikwete wakati ule.
Kamanda Kamuhanda, Daudi Mwangosi atakupokea, mtamalizana nae kwanza, ndipo amalizane na Sir God.

RIP Kamanda Polisi Michael Kamuhanda
RIP Kamanda Habari Daudi Mwangosi

Paskali
 
Kamanda Kamuhanda, Daudi Mwangosi atakupokea, mtamalizana nae kwanza, ndipo amalizane na Sir God.

RIP Kamanda Polisi Michael Kamuhanda
RIP Kamanda Habari Daudi Mwangosi

Paskali
Ila askari wote duniani wana element fulani ya kufanana. Juzi kule Minnesota Marekani kuna jamaa kauawa na polisi kwa kama ile ya Mwangosi. Yaani polisi kama 4 wameshamzunguka mtu mmoja ila wanaishia kumuua badala ya kumkamata.
 
Kuna kazi ni za kishetani!, moja ya kazi hizo ni polisi!, ila sio polisi wote ni mashetani, wako baadhi yao, japo sii wengi, ni malaika.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…