TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.

IMG_1935.jpeg

Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954

MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyololo Iringa. Kiko wapi?

Alimtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.

Screenshot_20260130_220508_Facebook.jpg

Wanafamia wameweka maneno ya kinafiki kwenye picha yake eti Nimevipigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeitunza. Labda imani ya kumwaga damu za watu. Kwa ufupi hajamaliza mwendo ndo safari ya kuzimu inaanza.. Hadi amalizane na Mwangosi na wote alioua kwa sifa.. Kudadeki.. Huyu ndo Muhaya pekee mjinga
IMG_20260130_232859_795.jpg
 
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.

Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954

TOKA MAKTABA :

2012 October 10

MAUAJI YA MWANDISHI MWANGOSI

Tume ya haki za binadamu yamtia hatiani RPC wa mkoa wa Iringa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=OETTx_BrgXs
Taarifa ya uchunguzi wa tukio la kuuwawa mwandishi wa habari Daudi Mwangosi iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora imebaini kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda Septemba 2 mwaka huu katika utekelezaji wa majukumu yake alikiuka sheria ya vyama vya siasa.
 
Malipo ni hapa hapa
 
Back
Top Bottom