TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

Mwangosi aliuawa kikatili sana
Jakaya alikuwa rais na hakuna aliyewajibishwa
Usifikiri huyo rpc alibaki kirahisi baada ya tukio lile ngoma ilikuwa inamlalia Rpc Kwa sababu alikuwa front siku ya tukio Kuna mganga Mmoja wa kienyeji kamanda alikuwa analala huko anagangwa mpaka likafa kifo Cha mende
badaye akarudishwa makao makuu, ni munyambo huyo
 
Tukio la mwangosi nalikumbuka ndio nimejiunga tu na JF nakutana na ule mtiti picha na video za lile tukio zilikaa sana kwenye desktop yangu miaja ile time flies... Rip mwangosi
 
Safi sana.
Huyu mwamba ndiye aliyekuwa mstari wa mbele siku Mwangosi analipuliwa bomu la tumbo na wala mwamba haikumshtua...

Leo hii ardhi imemchukua na yeye pia, sijui kama alifanikiwa kutubu...
Bora tu na yeye kafa.
 
Haluna watu siwapendi Kama polisi.
1746267043930.jpg
 
1746266983495.jpg

Sijui ndugu zake wakiona picha hizi wanawaza kuwafanya Nini Hawa mbwa.
 
Back
Top Bottom