Jina la Michael Kamuhanda nilipolisikia tu nilihisi kama nimewahi kulisikia tena siku si nyingi. Nina uhakika na wengine wamelikumbuka pia kuwa ndiye aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Ruvuma ambapo mapema mwaka huu (Februari) 2012wananchi 4 waliuawa napolisi walipokuwa wakijaribu kuandamana kwenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Natamani wamlete Dar-es-Salaam pia ili watu waelewe tatizo tulilonalo. Nikimuita ni mhalifu sijui kama nitakuwa nimetia chumvi sana... haiwezekani ndani ya mwaka mmoja kamanda unasimamia mauaji ya raia kisa wanataka kuandamana tu! Hivi hana mbinu nyingine zozote kichwani mwake zaidi ya kuwa trigger happy!Nani vile, Kamhanda?
Hebu kumbushia
Hawa watu wanapokuwa na nyadhifa zisizowastahili wanajiona wao ni miungu, na kusahau siku yao inawasubiri.
NakaziaWeka picha yake tumuone
Tunaombani namba tuchangie rambirambiNaibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyololo Iringa. Kiko wapi?
Alimtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.
View attachment 3536781Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za Polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo.![]()
Mwanahabari huyo Daud Mwangosi aliuwawa majira ya saa 10 jioni katika ofisi za Chadema Nyololo huku askari mmoja akijeruhiwa vibaya kwa risasi.
Kabla ya kuuwawa...
- Sir Leem
- apigwa risasi daudi mwangosi jeshi la polisi
- Replies: 893
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wanafamia wameweka maneno ya kinafiki kwenye picha yake eti Nimevipigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeitunza. Labda imani ya kumwaga damu za watu. Kwa ufupi hajamaliza mwendo ndo safari ya kuzimu inaanza.. Hadi amalizane na Mwangosi na wote alioua kwa sifa.. Kudadeki.. Huyu ndo Muhaya pekee mjinga
View attachment 3536783
safi sana akatekane na malaika sasaNaibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyololo Iringa. Kiko wapi?
Alimtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.
View attachment 3536781Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za Polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo.![]()
Mwanahabari huyo Daud Mwangosi aliuwawa majira ya saa 10 jioni katika ofisi za Chadema Nyololo huku askari mmoja akijeruhiwa vibaya kwa risasi.
Kabla ya kuuwawa...
- Sir Leem
- apigwa risasi daudi mwangosi jeshi la polisi
- Replies: 893
- Forum: Jukwaa la Siasa
Wanafamia wameweka maneno ya kinafiki kwenye picha yake eti Nimevipigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeitunza. Labda imani ya kumwaga damu za watu. Kwa ufupi hajamaliza mwendo ndo safari ya kuzimu inaanza.. Hadi amalizane na Mwangosi na wote alioua kwa sifa.. Kudadeki.. Huyu ndo Muhaya pekee mjinga
View attachment 3536783
Sielewekagi!We c ni mwana ccm
Au naota😀
Hajawahi kufurahia maisha huyu kamanda tangu alipomuua Mwangisi. Amekuwa akiishi maisha ya mateso ya magonjwa ktk familia yake, na kisha akaanza kusumbuliwa na hernia mpk kifo chake. Hakika ameonja jehanamu akiwa haiHuyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyololo Iringa. Kiko wapi?
Ni kweli ila haitoshi.. Alitakiwa aendelee kuteseka japo miaka mingine mitano. Damu ya mtu haiendi bure. Utaona kwa SamiaHajawahi kufurahia maisha huyu kamanda tangu alipomuua Mwangisi. Amekuwa akiishi maisha ya mateso ya magonjwa ktk familia yake, na kisha akaanza kusumbuliwa na hernia mpk kifo chake. Hakika ameonja jehanamu akiwa hai