TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

Makamanda wa polisi toka muda huo 2012 hadi sasa 2026 pamoja na kupigwa msasa kwa kuoelekwa kozi mbalimbali za uongozi chini ya Dr. Lazaro Mambosasa, wameamua kupotezea Kumbukumbu za Kitaasisi Institutional Memory kwa makusudi mbali ya kuwa Tume Ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuonesha mapungufu yao katika utekelezaji wa haki


TOKA MAKTABA:

tober 11, 2012​


RIPOTI YA KAMATI YA NCHIMBI KUHUSU MAUAJI YA MWANGOSI YAUMBULIWA VIBAYA NA TUME YA UTAWALA BORA NA HAKI ZA BINADAMU YA JAJI AMIR MANENTO...​

  • RPC WA IRINGA MICHAEL KAMUHANDA, ​

  • MSAJILI WA VYAMA JOHN TENDWA WABAINIKA KUVUNJA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI KUELEKEA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI WA CHANNEL TEN​

​
Jaji Kiongozi Mstaafu, Amir Manento akionyesha ripoti ya Tume ya Utawala Bora na Haki za Binadamu mbele ya waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam..
​
Msajili wa Vyama vya siasa, John Tendwa.
​
Michael Kamuhanda, RPC wa Iringa

​
Mwangosi akishambuliwa na rundo la Polisi kabla ya kuuawa kwa bomu.
​
Picha imeondelewa kuhifadhi utu wa mwandishi Mwangosi
​
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kamati ya kuchunguza mauaji ya Mwangosi
Ukiunda tume ukiwapa watu aina ya jaji manento,kisanga, samata
Jaji hawa aise walivyonyooka lazima wakukangee 😄
@ pascal mayalla

Ova
 
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.

View attachment 3536765

Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
Mwanza ni moja ya sehemu waliponuliwa wapigania haki wengi kati ya tarehe 29-01. Tekelezo la Amri ya kuwaua raia hao ilitoka kwa Kamuhanda.

RIP DCP.....
 
Back
Top Bottom