gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hutaki kiwanja eneo hot?We mungu mpokee huyu mtu wetu japo ni mdogo.
Hutaki kiwanja eneo hot?We mungu mpokee huyu mtu wetu japo ni mdogo.
1954-2026=71Huyu mwamba ndiye aliyekuwa mstari wa mbele siku Mwangosi analipuliwa bomu la tumbo na wala mwamba haikumshtua...
Leo hii ardhi imemchukua na yeye pia, sijui kama alifanikiwa kutubu...
Dah. Mwangosi Masikini, huyu Kamanda alikuwa Iringa, baada ya tukio la Mwangosi eti Kikwete akampandisha CheoUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! RIP MWANGOSI
Niite polisi waniletee njaa.Yakikukuta unaomba polisi wafanye kazi yao
Kwani nimekosea wapi tena? Mbona nimemwombea heri huko aendako.Hutaki kiwanja eneo hot?
Dr. Lazaro Mambosasa, wameamua kupotezea Kumbukumbu za Kitaasisi Institutional Memory kwa makusudi mbali ya kuwa Tume Ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuonesha mapungufu yao katika utekelezaji wa haki
Halafu Kigaila katoka hapo kaenda kuungana na CCM chini ya mwamvuli wa chaubwabwa.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! RIP MWANGOSI
Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa NchimbiKumbe unamkumbuka!! Huyu ndio alikuwa RPC wa moka wa Iringa alipopewa amri na Kikwete kumpiga risasi mwandishi marehemu Mwangosi : baada ya hapo Kikwete akampandisha cheo. KIKWETE is awash with blood in his hands, KARMA IS REAL.
Kwaheri afande. Kamsalimie Mwandishi Daudi Mwangosi.Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
Technology imetusaidia sana kuweka hizi kumbukumbu!Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Nchimbi
Shikamoo babuR.I.P classmate
Unashangilia leovkesho utasikia mnyika kafa naye😂😂😂Mungu Oyeeee
Mtapukutika wote Wanafiki nyie!Shikamoo babu
Kwani Nyinyi mtaishi milele????Mtapukutika wote Wanafiki nyie!