Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
View attachment 3536765
Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954
MY TAKE
Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi apigwe Bomu huko Nyololo Iringa. Kiko wapi?
Alimtuhumu kuipendelea CHADEMA katika kutoa habari.
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za Polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo.
Mwanahabari huyo Daud Mwangosi aliuwawa majira ya saa 10 jioni katika ofisi za Chadema Nyololo huku askari mmoja akijeruhiwa vibaya kwa risasi.
Kabla ya kuuwawa...
View attachment 3536781
Wanafamia wameweka maneno ya kinafiki kwenye picha yake eti
Nimevipigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, imani nimeitunza. Labda imani ya kumwaga damu za watu. Kwa ufupi hajamaliza mwendo ndo safari ya kuzimu inaanza.. Hadi amalizane na Mwangosi na wote alioua kwa sifa.. Kudadeki.. Huyu ndo Muhaya pekee mjinga
View attachment 3536783