Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Jamani Asanteni,

Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika.

Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa.

Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi kabisa

Ila mmetisha sana asanteni sana kwa support yenu nimeiona nguvu ya mtandao

Link ya kilichotokea⬇️

 
Walitaka kumtapeli,
 
Kumbe walikua wanafahamu vizuri ila viral ya mtandao inewatisha huenda wakapoteza ajira bure.
 
Nguvu ja JF ndio hii....ikiwezekana zile hela wanazokula uviko 19 Ziletwe JF wazitumia kusupport operation zao maana huku kana wananchi wengi zaidi ya Majimbo 19
 
JF siyo mchezo nasikia nape yuko pale ana piga story mbili tatu
 
Aisee kudadeki matapeli ni wengi sana nchi hii
 
Na mkeo akikuzingua njooo huku ndioo mwishoo wa matatizo tukupe somo ufanyaje ila si kumpiga dili na vinchenchede atakuheshimu....8
 
Wanatakiwa wamuombe radhi na kumlipa hela ya usumbufu wa muda na mapato ambayo angepata kama wangemrejeshea mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…