Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

Jamani Asanteni,

Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika.

Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa.

Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi kabisa

Ila mmetisha sana asanteni sana kwa support yenu nimeiona nguvu ya mtandao

Link ya kilichotokea⬇️

NMB ni benki nzuri sana Hilo lilikuwa tatizo la watu wachache tu
 
Hiyo ndio faida ya Jf.
Hata Kijiji Cha itumbi, kata ya matundasi, wilaya ya chunya, kitapatiwa maji safi na salama mwaka 2025 kabla ya uchaguzi mkuu.
Kelele ni muhimu. Kuna kundi linapiga makofi Kila siku, halioni matatizo ya wananchi.
 
NMB ni benki nzuri sana Hilo lilikuwa tatizo la watu wachache tu
Na wanaharibu sana .Kuna wale watu wa mikopo wa NMB Gongo la Mboto..Moto wao unaenda kuwawakia hivi karibuni mambo wanayoyafanya wakishirikiana na madalali wauzaji wa nyumba kule chanika sio kama hatuyaoni na dawa yao iko jikoni.Md wa pale anatakiwa kujipanga kweli.
 
Kama umekopa lipa deni la watu Mzee acha maneno mengi
 
Kulipa ni muhimu Big Boss issue ni utendaji wao hao watendaji hawafuati utaratibu wa BOT na ndo maana mikopo chechefu wanapigwa mihela mingi kweli sababu ya tamaa zao hao watendaji unaojaribu kuwatetea (Kama na wewe ni mshirika wa hicho kitengo ridhika na mshahara wako, ukiendekeza upigaji, majuto yako mlangoni kwako.)
 
Jamani Asanteni,

Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika.

Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa.

Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi kabisa

Ila mmetisha sana asanteni sana kwa support yenu nimeiona nguvu ya mtandao

Link ya kilichotokea[emoji3596]

Waliokua wameikalia hiyo hati ya Mama ni vizuri wakawajibika ipasavyo!!
 
Jamani Asanteni,

Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika.

Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa.

Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi kabisa

Ila mmetisha sana asanteni sana kwa support yenu nimeiona nguvu ya mtandao

Link ya kilichotokea⬇️

Hongera kwake, vipi wamemlipa fidia ya usumbufu waliomsababishia kwa kushikilia hati yake wakati alishalipa deni lote?
 
Back
Top Bottom