Barcode Member Joined Aug 9, 2017 Posts 35 Reaction score 62 Aug 20, 2017 #81 Hongera zake Mungu amtangulie. NB: Ni 'kukariri na siyo kukalili" Sent using Jamii Forums mobile app
kirisha JF-Expert Member Joined Feb 24, 2017 Posts 573 Reaction score 663 Apr 15, 2018 #82 Ni ule uji wa kishua
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,459 Reaction score 3,576 Apr 15, 2018 #83 Mdada kapewa mtaji ml.50 ππππππππππ³πππ±πππππ±π³ Proposal ya biashara ya hoteli πππππ Baada ya miaka 10 atakua bilionea wa uji
Mdada kapewa mtaji ml.50 ππππππππππ³πππ±πππππ±π³ Proposal ya biashara ya hoteli πππππ Baada ya miaka 10 atakua bilionea wa uji
U ubalozi2017 Member Joined Sep 30, 2017 Posts 22 Reaction score 12 Apr 16, 2018 #84 yajutu said: Unamaanisha amepata sapoti kutoka kwa mtu mwingine lakini sio ameuza uji mpaka amepata mtaji wa kufungua hotel wala sio restaurant Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yes amepata suport kwa mdau Mil50,,,juhudi zake zimemfikisha kwenye kuaminiwa
yajutu said: Unamaanisha amepata sapoti kutoka kwa mtu mwingine lakini sio ameuza uji mpaka amepata mtaji wa kufungua hotel wala sio restaurant Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yes amepata suport kwa mdau Mil50,,,juhudi zake zimemfikisha kwenye kuaminiwa
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,080 Reaction score 4,914 Apr 16, 2018 #85 Leteni feedback mwaka ushapita kafikia wapi
Freelancer JF-Expert Member Joined Sep 22, 2008 Posts 2,965 Reaction score 2,147 Apr 18, 2018 #86 Mwana Mtoka Pabaya said: Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily. Click to expand... Hii thread ipo juu ya uwezo wako wa kiakili. Kubali tu yaishe...πππππ
Mwana Mtoka Pabaya said: Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily. Click to expand... Hii thread ipo juu ya uwezo wako wa kiakili. Kubali tu yaishe...πππππ