Yule mdada aliyekuwa anauza Uji kwa sasa Mambo yamebadilika soon atawaajiri

Kupewa fedha na mwanaume ni jambo moja, kupata watu wa kunywa uji kiasi cha kuwekeza 50m ni jambo la pili. Wajaluo tupo wachache sana hapa mjini labda huo uji akauzie Tarime.

Mimi nikiwakumbuka Namaingo, huwa sina hamu na mahubiri ya wafuga kuku. Story zenu huwa zinalenga kutafuta soko la mazao yenu na ada za semina za kuwajaza watu matumaini hewa.

Mpe dadaako hongera kwa kuwa na shepu worth 50m
 
Mafanikio ya aina yoyote ile yataanzia pale uoga na Aibu vitakapo ondoka.

Pale uoga na aibu vinapo ondoka basi njia za mafanikio hufunguka.

Kuna watu wanasema kwamba kama kapata pesa basi si kwa kuuza uju. haya ni mawazo ya watu ambao kuwaza kwao kumefikia mwisho na sasa kuna watu wanawaza kwa niaba.

Njia za mitaji ziko nyingi na pale penye jitihada basi njia zipo.

unapo tafuta sapoti jiulize wewe una nini mkononi? umeonyesha jitihada gani?

Musa wakati anawatoa wana Wa Israeli utumwani aliukizwa na Mungu una nini? Musa akajibu nina Fimbo mkononi basi piga chini hiyo fimbo.

Wewe una nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwa rate kwa kuangalia Uvaaji wao. Hahaaa ile ni njia yao tu ya ku ji under rate ili wandane na jamii

Kuna jamaa ni M brash viatu ana kona nzuri anayo brashia viatu. Ukifika kwake utazimia mimi sikuamini alivyo nipelela kwake na tangia hapo hawa watu huwa si wa under rate kabisa.
Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.
 
Hahaha angalia Avator yangu na jina langu na ni verfied, wewe njoo kwa majija yako kamili. Mimi humu kuna watu wengi wananijua kwa kuonana na si kwa jina.

Wewe hakuna anaye kujua kama kwanza ni Ke au me na kama ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nikujue kwani unafaida gani kwangu. Ongelea kilicho postiwa kwa hoja sio kuongelea sijui avatar Mara wengi wananijua ukitaka tukujue nenda Ofisi ya Raisi umpige Kofi hapo tutakujua

Naongea na mpumbavu, coment zako tangu mwanzo zinainyesha unakiwango cha chini kabisa cha kuwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.
Ndo mwisho wako wa kuwaza? au inahitajika mechansim nyingine ili uwaze zaidi ya hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupewa fedha na mwanaume ni jambo moja, kupata watu wa kunywa uji kiasi cha kuwekeza 50m ni jambo la pili. Wajaluo tupo wachache sana hapa mjini labda huo uji akauzie Tarime.

Mimi nikiwakumbuka Namaingo, huwa sina hamu na mahubiri ya wafuga kuku. Story zenu huwa zinalenga kutafuta soko la mazao yenu na ada za semina za kuwajaza watu matumaini hewa.

Mpe dadaako hongera kwa kuwa na shepu worth 50m
Namaingo walipiga pesa kwa watu ambao kuwaza jwao kusha fikia tamati na wanahitaji msaada ili waendelee kuwaza.

Unajua ni mwanaume? au unakariri mambo? pale kuwaza kunapo fikia tamati kukariri mambo huanza.

Ungeona proposal usingeongea pumba za kiwango hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili za juu juu hutaweza kujua kuwa Drug Lords wanatumia retailers kuuza mzigo. Sasa na wewe tafuta kijiwe ubrash viatu...mjini kila mtu ana siri zake. Utabrush viatu mpaka upate fungus, don't be fooled easily.
Nyie ndo wale mmekaririshwa kwamba ili ufanikiwe shariti kuu uajiriwe basi bila kujalisha unalipwa sh ngapi.

Wewe wachoma mihogo au wa Brashi viatu unawadharau? unawadgarau kwa sababu ya kuvaa vibaya? vipi wangekuwa wanapiga suti na wanabrashi ungewakubali?

Make nyie mna rate watu webye mafanikio kwa kuangalia anavyo vaa

Wacha kubisha na watu wenye kiwango cha mwisho cha uelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mwisho wako wa kuwaza? au inahitajika mechansim nyingine ili uwaze zaidi ya hapa
Mwanzo wangu wa kuwaza unaanzia unapoishia wa kwako. Usiende kwenye watimamu wa akili kusifia mpiga kiwi kajenga ghorofa, utaoneakana umekula starter ya Broilers ukaumuka mwili ubongo ukabaki.

Kuokota chupa za plastiki mtaani inaweza kuwa ID in disguise of any evil business.
 
Humu watu wengi uelewa wao ni mdogo sana hivyo wavumilie, watu wana kiwango cha chini sana cha kuelewa mambo wengi wanajua mambo ya udaku. Waulize kuhusu Alikiba uone watashusha nondo hadi ukimbie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka nikujue kwani unafaida gani kwangu. Ongelea kilicho postiwa kwa hoja sio kuongelea sijui avatar Mara wengi wananijua ukitaka tukujue nenda Ofisi ya Raisi umpige Kofi hapo tutakujua

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimefuatilia coment zako kwa kifupi wewe ni mweupe sana kichwani na una upeo mdogo sana kubali kwanza kwa hilo. Post kama hizi zinakuzidi uwezo wako na post levo yako ni post za wakina Sepetu na wakina Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo wangu wa kuwaza unaanzia unapoishia wa kwako. Usiende kwenye watimamu wa akili kusifia mpiga kiwi kajenga ghorofa, utaoneakana umekula starter ya Broilers ukaumuka mwili ubongo ukabaki.

Kuokota chupa za plastiki mtaani inaweza kuwa ID in disguise of any evil business.
Chasha sio levo yako kabishane na watoa mada za mapenzi na za udaku.
Huba idea za biashara kwa uelewa wako unajua biashara ni hadi uuze magari au Duka la Hardware

Una upeo mdogo sana hizi post sio levo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo wangu wa kuwaza unaanzia unapoishia wa kwako. Usiende kwenye watimamu wa akili kusifia mpiga kiwi kajenga ghorofa, utaoneakana umekula starter ya Broilers ukaumuka mwili ubongo ukabaki.

Kuokota chupa za plastiki mtaani inaweza kuwa ID in disguise of any evil business.
Kuokota chupa kunategemea na malengo ya anae okota. kule moshi kuna jamaa anaokota makaratasi na anakiwanda anatengeneza mifuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom