CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #41
Mkuu ogopa pale mtu kuwaza kunapo fikia mwisho. kwa sasa yaani watu wana muwaziaKwako wewe Hotel ni yenye hadhi ya Nyota 3,4&5 tu?
Haya Mkuu wewe endelea kupambana na hari yako, mwache muuza uji atimize ndoto zake.
Sent using Jamii Forums mobile app