Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

Naomba ku declare openly kuwa huyu mtoa mada ni moja y watu nisowakubal humu jf.
[emoji16][emoji16][emoji16]

Usimchezee. Atakuripoti kwa mods na utakula ban sasa hivi. Sijui ana urafiki gani na mamods aisee. Anaandika utumbo deile lakini ukimsema tu kidogo akakuripoti tu basi ban hiyo huikosi ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…