Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

Hance Mtanashati, haupendi lugha mbaya za matusi wala kutajwa kwa majina mbona unatumia id fake ukijitapa nyuma ya keyboard, unafata nini katika mijadala ya lugha mbaya na kufatilia maisha ya watu au mambo ya watu

Naomba nkushauri kama kijana mwenzangu , hautapewa tuzo hapa jukwaani wala hautapewa sifa yoyote na nakwambia ukweli ipo siku utakuja pata shida na ukahitaji msaada na utakosa wa kukusaidia kisa tabia za kike na za ajabu just imagine unapata shida uko mkoa wa ugenini huna unaemjua uko ukija ata omba msaada hapa hakuna atakae kusaidia kuitatua coz wote wanajua unatabia gani coz haukawii kuanza msema hapa jukwaani au mahala popote.

Undugu si tu wa damu moja ata unaoishi nao wanaweza kua nduguzo kumchomea mtu sio tabia njema na haikubaliki wacha * Nature itake place* moderator wanajua kazi zao ila kuwa tag ni sawa na kunitukana nikikupiga unawai police kusema mimi mgomvi

* bro nimetokea kukuchukia sana na kwasababu hii ya tabia za kike, kishoga , kihayawani na kifedhuli ninakulamba block moja matata hautakaa uone comment zangu na sitakaa nione koment zako *🦎


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu swala la kuwatag mamods achana nalo nyuzi watapitia wenyewe kwenye marekebisho watafanya swala la kuwatag tag kila mda ni dalili mbaya kama unayetumia hiyo I'd kweli ni mwanaume ila Kama ni upande wa pili kiroho swafi endelea
 
Back
Top Bottom