Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

Wakuu wale wenzangu wa upande wa kiume nadhan ni muda sasa umefika tumuache uyu dada aendelee kupambana na wakina mama wenzake

Kumbe ni #mwanamama View attachment 1314096

Jambo moja fanya ivi click jina la jamaa apo then panda pale juu kuna vidot ... juu kulia vibonyeze itakuja option ya block/ ignore bonyeza apo huyu hautaweza ona comment zake na wala yeye hataweza ona comment yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashkuru kiongoz ngoja nifanye hivyo
 
Mbona yeye na mashabiki zake wala HAIMSHTUIII,

#Inaumaaa eeh ila itabidi mzoeee#
Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…