Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha

Jamani Jamani! Tafadhalini wana JF tunaoelewa umuhimu na mantiki ya hii platform tuwe tunatoa hata kaelimu cha wazi huko mtaani kuwa nusuru watu wenye aina ya mawazo na tabia kama hizi kuja kuandika mambo ya aibu namna hii.. Hivi hata kama una manzi na akapelekewa screenshot au kuona ulichoandika hapa atakuchukulia vipi!! Wanaume mda mwingine tunajiaribia wenyewe. #BroCode
 
Ndio mimi ni mwanamama mniache na wamama wenzangu.
Mkuu, tunaomba uwe unareport kwa kubonyeza kitufe cha kureport kitu ambacho hakikufurahishi Majukwaani sio unamtag au unammention Moderator kwani anaweza kuchelewa kuona. Natumaini umenielewa. Hii inasiadia kuondoa kwa haraka post isiyotakiwa.
 
Du Tanzania wanaume wanapungua sana kama mleta mada ni wa kiume.
Hakika.Huyu mleta mada ni aina ya viazi hivi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
kama ww ni jinsia ya kiume basi jisemee kimoyomoyo ''NATETEMA''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…