Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Yule mtu alituongopea ya kwamba idd Amin Dada ni katili,mtu mbaya,jeuri na shetani alituongea sana na tunapaswa kumlaumu sana aisee Iddi Amin Dada alikuwa pan Africanist wa kweli yeye kujua au kutojua kwamba anatumiwa na wamagharibi akaja kutuaminisha
Eti Idd Amin Dada ni mtu mbaya sasa yeye ndiyo mtu mbaya zaidi kumzidi huyo anayemsambazia hizo propaganda sasa vijana au waAfrika ndiyo wanakuja kujua kwamba zile zilikuwa propaganda tu na ubaya sasa mmoja wa hao propagandist alituachia hili linchi ambaye halieleweki hata kidogo katiba mbovu yaani overall system zote alizotuachia ziko hovyo kabisa yeye ndiyo mbaya zaidi na tunapaswa kumlaumu sana