Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wazungu watu wabaya sanaYule mtu alituongopea ya kwamba idd Amin Dada ni katili,mtu mbaya,jeuri na shetani alituongea sana na tunapaswa kumlaumu sana aisee iddi Amin Dada alikuwa pan Africanist wa kweli yeye kujua au kutojua kwamba anatumiwa na wamagharibi akaja kutuaminisha eti idd Amin Dada ni mtu mbaya sasa yeye ndiyo mtu mbaya zaidi kumzidi huyo anayemsambazia hizo propaganda sasa vijana au waAfrika ndiyo wanakuja kujua kwamba zile zilikuwa propaganda tu na ubaya sasa mmoja wa hao propagandist alituachia hili linchi ambaye halieleweki hata kidogo katiba mbovu yaani overall system zote alizotuachia ziko hovyo kabisa yeye ndiyo mbaya zaidi na tunapaswa kumlaumu sana
Aiseee! Hakuna kazi nyepesi kama kuropoka, maana hata kula ni kugumu lazima uvuje jasho.Idd Amin kabla hajauawa niliwahi kukaa nae na kupata mawili matatu, hakika jamaa alikuwa mwamba
Unaaminisha Idi Amin yupi? Nimjuaye alikuwa kifo cha kawaida huko Saudia.Aiseee! Hakuna kazi nyepesi kama kuropoka, maana hata kula ni kugumu lazima uvuje jasho.
wetu wa magumashi.Unaaminisha Idi Amin yupi? Nimjuaye alikuwa kifo cha kawaida huko Saudia.
Upo wapi? Ulishuhudia? Au na wewe umeshiba propaganda za mabwana zako?Acha wehu, kwani hukuona ubaya wa iddi amini?
ni upi?Una utani wewe
Idd Amini aniwatesa mabalozi wa ulaya sasa wao wakaona wa kuwalipizia kisasi ni kibaraka wao ambae jirani yake.Nyerere aliingia vitani na Uganda kisa kumtetea rafiki yake Obote
Stupid fishYule mtu alituongopea ya kwamba idd Amin Dada ni katili,mtu mbaya,jeuri na shetani alituongea sana na tunapaswa kumlaumu sana aisee Iddi Amin Dada alikuwa pan Africanist wa kweli yeye kujua au kutojua kwamba anatumiwa na wamagharibi akaja kutuaminisha
Eti Idd Amin Dada ni mtu mbaya sasa yeye ndiyo mtu mbaya zaidi kumzidi huyo anayemsambazia hizo propaganda sasa vijana au waAfrika ndiyo wanakuja kujua kwamba zile zilikuwa propaganda tu na ubaya sasa mmoja wa hao propagandist alituachia hili linchi ambaye halieleweki hata kidogo katiba mbovu yaani overall system zote alizotuachia ziko hovyo kabisa yeye ndiyo mbaya zaidi na tunapaswa kumlaumu sana
Idiot! Nyie watu wazima ambao mlizaliwa kwenye vilabu vya gongo na ulanzi mna akili za kilevi Sana,mlevi mkubwa weweStupid fish
Vijana mliozaliwa Kwa quickie mna akili za quickie