Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA

KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA

KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI

HATIMAE KIJANA ALIFARIKI KESHO YAKE

NIWAJUZE TU WALE WANAOMJUA DK AMA AKA JAJA MWIZI MAARUFU TOKA KAWE NAE AMEFANIKIWA KUTUTOKA BILA KUAGA

RAHA YA MILELE USIWAPE EE.....MWANGA WA MILELE USIWAANGAZIE
WASIPUMZIKE KWA AMANI

AMEN

Pia Soma: Kawe Bondeni kwenye mto pametokea tukio gani? Nimeona Bodoboda zaidi ya 200 wanachungulia mtoni!
 
HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA

KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA

KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI

HATIMAE KIJANA ALIFARIKI KESHO YAKE

NIWAJUZE TU WALE WANAOMJUA DK AMA AKA JAJA MWIZI MAARUFU TOKA KAWE NAE AMEFANIKIWA KUTUTOKA BILA KUAGA

RAHA YA MILELE USIWAPE EE.....MWANGA WA MILELE USIWAANGAZIE
WASIPUMZIKE KWA AMANI

AMEN

TAARIFA
Huna unachokijua kuhusu Wezi wa Kawe na kwa Taarifa yako Wezi ambao walitetemesha Kawe (kiasi kwamba Watu walikuwa hata hawalali na Polisi wa Kawe wakiongozwa na Polisi Rafiki yangu japo ni mwana Yanga SC Afande Bingwa walikuwa wakiwaogopa) ni Wawili tu Marehemu Mbuzi yake Kamba na Kinyembe.

Huyu Marehemu Mbuzi yake Kamba Yeye alikuwa akija kufanya Tukio Kwako kwanza anaanza Kumkaza Mkeo huku unaona na ukijifanya kuleta Kibesi nawe anakubinjua vile vile na Kukuweka nao Wote myuuuuuuuu mbele ya Mkeo ambaye alishaliza Kukazwa nae Kunakotukuka.

Marehemu Kinyembe Yeye alikuwa akikukuta tu popote akikuambia mtolee Simu au Waleti yako ukibisha tu basi ndani ya Sekunde mbili Uso wako unamwaga Damu kwani alikuwa akitembea na Viwembe Vikali mfukoni mwake na alikuwa akichomoa Nyembe hairudishi mfukoni mwake hadi akuchane.

Marehemu Mbuzi yake Kamba aliuliwa Mbezi Beach mitaa ya Kona Baa baada ya safari hii kwenda Kuiba katika Nyumba moja Mwanajeshi Mmoja Commando ambaye hakai mbali sana na Viwanja vya alivyokuwa anamiliki Mzee Mmoja maarufu katika Serikali ya Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Mzee Kitundu.

Marehemu Kinyembe nae aliuwawa Kawe Mtoni (mitaa ya kwa Kavishe) baada ya Kumuibia Simu Mama Mjamzito na Kumchoma Bisibisi. Alivyofanya hilo Tukio Vijana wabeba Mchanga wakaamua Kumlia Timing ambako nae alivyokuwa Mjinga Kesho yake akaenda tena pale pale Kutega (akisahau kuwa alimchoma Kisu Mama Mjamzito na Kumuua) na Jamaa (wabeba Michanga) usawa wa Daraja la Malecela wakamuona ambapo walimkamata na Kumuua kwa Kifo kibaya sana cha Kishalubela (Kikatili) ambapo kuna Mwanangu Mmoja (hana Masihara kabisa) alimshindilia Kichwani na Msumari wa Nchi Sita ambapo uliingia Wote kisha Mwamba wangu mwingine Yeye akaamua Kuyatoboa kisha Kuyanyofoa kabisa Macho yake.

Huyu Marehemu Kinyembe Yeye alikuwa akiishi Nyumba iliyoko jirani kabisa inatazama na Mlango Mdogo wa Lugalo.
 
Kisa wizi wizi, udokozi, na ujinga ujinga mwengine ikiwemo makundi na mabifu ya camp kwa camp, tushapoteza vijana wengi sana mtaani

Katika makuzi wengi niliokuwa nao mtaani tushazika kisa tu mambo ya kishenzi

Kukaa mjini ni kipengele sana kama hautamua kuchuma kwa halali
 
Back
Top Bottom