Huna unachokijua kuhusu Wezi wa Kawe na kwa Taarifa yako Wezi ambao walitetemesha Kawe (kiasi kwamba Watu walikuwa hata hawalali na Polisi wa Kawe wakiongozwa na Polisi Rafiki yangu japo ni mwana Yanga SC Afande Bingwa walikuwa wakiwaogopa) ni Wawili tu Marehemu Mbuzi yake Kamba na Kinyembe.HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA
KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA
KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI
HATIMAE KIJANA ALIFARIKI KESHO YAKE
NIWAJUZE TU WALE WANAOMJUA DK AMA AKA JAJA MWIZI MAARUFU TOKA KAWE NAE AMEFANIKIWA KUTUTOKA BILA KUAGA
RAHA YA MILELE USIWAPE EE.....MWANGA WA MILELE USIWAANGAZIE
WASIPUMZIKE KWA AMANI
AMEN
TAARIFA
Majani ya mpera ni dawa ya matatizo ya muandiko usioelewekaMpwaaa wambie wakati wa naandika cheki m nasaini apewee mteja hela
So wengine tulizaliwa kusaini waoo waandike
Pilipili mbuzi mix na pilipili kichaa tia maji nusu kijiko mvurugano huo chambia utanishukuru lazima uandishi wako uwe umenyookaKunywaa uandike vizuri ongeza na aloveraa
Chukua hio ifanyie kaziNa C2