Yule mzee aliyevuruga Mfumo wa Uchaguzi alimfungua jini kutoka kwenye chupa na imeshindikana kurudishwa

Yule mzee aliyevuruga Mfumo wa Uchaguzi alimfungua jini kutoka kwenye chupa na imeshindikana kurudishwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Uchaguzi ulikuwa ukifanyika angalau kwa heshima japo kulikuwa na dosari za hapa na pale ila angalau hatua zilikuwa zinapigwa taratibu za kuheshimu maamuzi ya raia kupitia box la kura hasa pale raia walipokuwa wanakaza angalau kidogo.

Yule mzee alipoonyesha inawezekana kutokuheshimu box la kura kabisa, ukijitangaza umeshinda kwa 98% bila consequences zozote au kufanywa chochote ikawa ndio mwisho wa uchaguzi wa vyama vingi kuwa na maana yoyote tena.

Yule mzee alifungua chupa na kumtoa jini kwenye chupa ambapo sasa imeshindikana kumrudisha kwenye chupa, hakika historia haitamwandika kwa wema kwa dhambi hii kuu aliyoirithisha vizazi alivyoviacha.
 
Ndo wanamuita alikuwa akili timamu.
Nahisi hata mungu na wanzake waliona ili ila ndio litajenga kovu kubwa.
 
Uchaguzi ulikuwa ukifanyika angalau kwa heshima japo kulikuwa na dosari za hapa na pale ila angalau hatua zilikuwa zinapigwa taratibu za kuheshimu maamuzi ya raia kupitia box la kura hasa pale raia walipokuwa wanakaza angalau kidogo.

Yule mzee alipoonyesha inawezekana kutokuheshimu box la kura, ukijitangaza umeshinda kwa 98% bila consequences zozote au kufanywa chochote ikawa ndio mwisho wa uchaguzi wa vyama vingi kuwa na maana yoyote tena.

Yule mzee alifungua chupa na kumtoa jini kwenye chupa ambapo sasa imeshindikana kumrudisha kwenye chupa, hakika historia haitamwandika kwa wema kwa dhambi hii kuu aliyoirithisha vizazi alivyoviacha.
NO REFORM NO ELECTION
 
Aisee kilichotokea 2019, 2020 na 2024; kinakatisha kabisa tamaa ya kupiga kura. Kwa kweli ngoja tu Mh. Tundu Lissu aendelee kuwaamsha watu kutoka usingizini.
 
Back
Top Bottom