Yule Ndiye La Pulga

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hakika waweza sema hii ni zawadi kwa dunia tokea mbinguni.... Kwa kizazi kilichopo... Jamaaa ni kiumbe adimu kuwahi tokea kwa jinsi anavyoutawala na kuuchezea mpira pamoja na miili ya watu wanaotaka kumpoka mpira alionao mguuni... Huyu mtu huwa akili yake inazunguka kwa speed ya ajabu awapo kwenye carpet
Role yake katika game ya Jana Kati yao na Manchester United ni kigezo kingine tosha cha kumueeka Lionel Messi Juu Jun... Angani
Nani Kama Messi? Tuache ushabiki ni Nani anayeweza fanya actions za kupendeza kuvutia na kusisimua zaidi yake? Huenda ndiye anayeongoza kwa assist duniani kwa sasa lakini pia ndiye mfungaji mwenye magoli mengi zaidi ya yeyote ile ulaya kwa sasa!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu kashine kinions wake kelele kbao,juzi juzi tu misimu iliopita mlitia huruma.
Cr7 is better,PELE the BEST

Sent using Brain
 
Cr 7 the best one and only
Hilo kombe analotafuta Messi. Cr7 kabeba Mara 3 mfululizo,mwambie Messi Kama ataweza
Bila kusahau Jana Kama kawaida katia kambani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba anatamani angekuwepo degea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…