ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hakika waweza sema hii ni zawadi kwa dunia tokea mbinguni.... Kwa kizazi kilichopo... Jamaaa ni kiumbe adimu kuwahi tokea kwa jinsi anavyoutawala na kuuchezea mpira pamoja na miili ya watu wanaotaka kumpoka mpira alionao mguuni... Huyu mtu huwa akili yake inazunguka kwa speed ya ajabu awapo kwenye carpet
Role yake katika game ya Jana Kati yao na Manchester United ni kigezo kingine tosha cha kumueeka Lionel Messi Juu Jun... Angani
Nani Kama Messi? Tuache ushabiki ni Nani anayeweza fanya actions za kupendeza kuvutia na kusisimua zaidi yake? Huenda ndiye anayeongoza kwa assist duniani kwa sasa lakini pia ndiye mfungaji mwenye magoli mengi zaidi ya yeyote ile ulaya kwa sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app