Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwa mara tatu mfululizo kuna paka amekuwa akiingia kwenye stoo yangu nyumbani kupitia dirisha dogo lisilo na shutter na kujisaidia mlangoni
Yani siku inafuata ukifungua mlango wa store unakutana na mzigo na unanuka mbaya...
Last week ijumaa kuamkia Jumamosi nikategesha kipande cha nyama kilochokuwa na dozi ya vidonge viwili vya vallium, mshkaji akaingia mtegoni kwa kukifakamia chote kile kinyama
Nilidamka Jumamosi asubuhi na kumkuta kalala fofofo anaota ndoto kama anafanya matusi kwakuwa miguu ya nyuma ilikuwa inachezacheza kushoto kulia
Nikakuchua mfuko mdogo wa sandarusi na kumviringa humo ,kisha nikachukua mfuko mwingine mkubwa kidogo hii ya mia tano ya kuwekea bidhaa nikamtia humo na kuwahi kituo cha basi
Kufika kituoni nikachagua gari lenye abiria wachache...nikaenda mpaka siti ya nyuma kabisa na kuufutika mzigo wangu chini ya siti...baada ya kama vituo vitatu nikashuka na kuacha mzigo wangu upate free ride..
Kumbe kufika mbezi ile coaster ikapata tenda ya kupeleka watu Buza kwenye shughuli...kelele za ngoma na mizuka ya abiria ndio vilimuasha toka kwenye usingizi mzito mitaa ya Davis corner
Ile purukushani ya kutaka kutoka kwenye gereza asilolijua akajikuta yuko chini ya utupu wa mdada aliyekuwa kavaa dera tu kakanyagia siti anatingisha makalio ...Patashika lililotokea baada ya hapo limeacha simulizi kubwa Temeke
Uhalisia ni kwamba yule paka ni Mimi ndio nilimuweka akapotelee mbali baada ya kunisumbua nyumbani kwangu na wala sio wa kichawi aliyetumwa kuvuruga shughuli ya watu