Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaNi aina tu ya uandishi
😂😂😂😂😂 dahAnaota ndoto kama anafanya matusi.
Alikuwa anarusha miguu ya nyuma kulia na kushoto.
Hii itakuwa ni ile style ya mbuzi kagoma
Kawadanganye watoto wenzio we boyaKwa mara tatu mfululizo kuna paka amekuwa akiingia kwenye stoo yangu nyumbani kupitia dirisha dogo lisilo na shutter na kujisaidia mlangoni
Yani siku inafuata ukifungua mlango wa store unakutana na mzigo na unanuka mbaya...
Last week ijumaa kuamkia Jumamosi nikategesha kipande cha nyama kilochokuwa na dozi ya vidonge viwili vya vallium, mshkaji akaingia mtegoni kwa kukifakamia chote kile kinyama
Nilidamka Jumamosi asubuhi na kumkuta kalala fofofo anaota ndoto kama anafanya matusi kwakuwa miguu ya nyuma ilikuwa inachezacheza kushoto kulia
Nikakuchua mfuko mdogo wa sandarusi na kumviringa humo ,kisha nikachukua mfuko mwingine mkubwa kidogo hii ya mia tano ya kuwekea bidhaa nikamtia humo na kuwahi kituo cha basi
Kufika kituoni nikachagua gari lenye abiria wachache...nikaenda mpaka siti ya nyuma kabisa na kuufutika mzigo wangu chini ya siti...baada ya kama vituo vitatu nikashuka na kuacha mzigo wangu upate free ride..
Kumbe kufika mbezi ile coaster ikapata tenda ya kupeleka watu Buza kwenye shughuli...kelele za ngoma na mizuka ya abiria ndio vilimuasha toka kwenye usingizi mzito mitaa ya Davis corner
Ile purukushani ya kutaka kutoka kwenye gereza asilolijua akajikuta yuko chini ya utupu wa mdada aliyekuwa kavaa dera tu kakanyagia siti anatingisha makalio ...Patashika lililotokea baada ya hapo limeacha simulizi kubwa Temeke
Uhalisia ni kwamba yule paka ni Mimi ndio nilimuweka akapotelee mbali baada ya kunisumbua nyumbani kwangu na wala sio wa kichawi aliyetumwa kuvuruga shughuli ya watu
😂 😂 😂 😂Kwa mara tatu mfululizo kuna paka amekuwa akiingia kwenye stoo yangu nyumbani kupitia dirisha dogo lisilo na shutter na kujisaidia mlangoni
Yani siku inafuata ukifungua mlango wa store unakutana na mzigo na unanuka mbaya...
Last week ijumaa kuamkia Jumamosi nikategesha kipande cha nyama kilochokuwa na dozi ya vidonge viwili vya vallium, mshkaji akaingia mtegoni kwa kukifakamia chote kile kinyama
Nilidamka Jumamosi asubuhi na kumkuta kalala fofofo anaota ndoto kama anafanya matusi kwakuwa miguu ya nyuma ilikuwa inachezacheza kushoto kulia
Nikakuchua mfuko mdogo wa sandarusi na kumviringa humo ,kisha nikachukua mfuko mwingine mkubwa kidogo hii ya mia tano ya kuwekea bidhaa nikamtia humo na kuwahi kituo cha basi
Kufika kituoni nikachagua gari lenye abiria wachache...nikaenda mpaka siti ya nyuma kabisa na kuufutika mzigo wangu chini ya siti...baada ya kama vituo vitatu nikashuka na kuacha mzigo wangu upate free ride..
Kumbe kufika mbezi ile coaster ikapata tenda ya kupeleka watu Buza kwenye shughuli...kelele za ngoma na mizuka ya abiria ndio vilimuasha toka kwenye usingizi mzito mitaa ya Davis corner
Ile purukushani ya kutaka kutoka kwenye gereza asilolijua akajikuta yuko chini ya utupu wa mdada aliyekuwa kavaa dera tu kakanyagia siti anatingisha makalio ...Patashika lililotokea baada ya hapo limeacha simulizi kubwa Temeke
Uhalisia ni kwamba yule paka ni Mimi ndio nilimuweka akapotelee mbali baada ya kunisumbua nyumbani kwangu na wala sio wa kichawi aliyetumwa kuvuruga shughuli ya watu
Atakuwa babu mcheza baoUpambanaji wako wa sasa kama kijana ndio utaamua baadae kama uwe babu mcheza golf ama babu mcheza draft.
Hahahaha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeimagine alivyokurupuka kutoka kwenye mfuko
Kingsmann
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Kwa mara tatu mfululizo kuna paka amekuwa akiingia kwenye stoo yangu nyumbani kupitia dirisha dogo lisilo na shutter na kujisaidia mlangoni
Yani siku inafuata ukifungua mlango wa store unakutana na mzigo na unanuka mbaya...
Last week ijumaa kuamkia Jumamosi nikategesha kipande cha nyama kilochokuwa na dozi ya vidonge viwili vya vallium, mshkaji akaingia mtegoni kwa kukifakamia chote kile kinyama
Nilidamka Jumamosi asubuhi na kumkuta kalala fofofo anaota ndoto kama anafanya matusi kwakuwa miguu ya nyuma ilikuwa inachezacheza kushoto kulia
Nikakuchua mfuko mdogo wa sandarusi na kumviringa humo ,kisha nikachukua mfuko mwingine mkubwa kidogo hii ya mia tano ya kuwekea bidhaa nikamtia humo na kuwahi kituo cha basi
Kufika kituoni nikachagua gari lenye abiria wachache...nikaenda mpaka siti ya nyuma kabisa na kuufutika mzigo wangu chini ya siti...baada ya kama vituo vitatu nikashuka na kuacha mzigo wangu upate free ride..
Kumbe kufika mbezi ile coaster ikapata tenda ya kupeleka watu Buza kwenye shughuli...kelele za ngoma na mizuka ya abiria ndio vilimuasha toka kwenye usingizi mzito mitaa ya Davis corner
Ile purukushani ya kutaka kutoka kwenye gereza asilolijua akajikuta yuko chini ya utupu wa mdada aliyekuwa kavaa dera tu kakanyagia siti anatingisha makalio ...Patashika lililotokea baada ya hapo limeacha simulizi kubwa Temeke
Uhalisia ni kwamba yule paka ni Mimi ndio nilimuweka akapotelee mbali baada ya kunisumbua nyumbani kwangu na wala sio wa kichawi aliyetumwa kuvuruga shughuli ya watu
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni mimi ndiye niliyekuwa namtuma huyo Paka aje kujisaidia hapo nyumbani kwako, na tayari ameisha rudi kwangu,[emoji1787]