Yule Paka wa urusi Kashindwa Kabisa Kutabiri Mechi Za Kombe Hili,

Yule Paka wa urusi Kashindwa Kabisa Kutabiri Mechi Za Kombe Hili,

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hakika Kombe Hili limekua Gumu Kutabiri Mpaka Huyu Mtabiri Aliyefikiriwa Kutabiri Mechi Ameshindwa Kabisa, tofauti na yule pweza waujerumani kipindi kile
Na hata ukimtazama usoni paka huyu unamuona jinsi alivyojawa na mashaka na wasi Wasi mwingi
images-2.jpeg
images-1.jpeg
 
Paka ni Paka na Pweza ni Pweza mkuu!
 
Yule pweza angekuwepo kipindi hiki watu wasingechana mikeka
 
Back
Top Bottom