ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hakika Kombe Hili limekua Gumu Kutabiri Mpaka Huyu Mtabiri Aliyefikiriwa Kutabiri Mechi Ameshindwa Kabisa, tofauti na yule pweza waujerumani kipindi kile
Na hata ukimtazama usoni paka huyu unamuona jinsi alivyojawa na mashaka na wasi Wasi mwingi
Na hata ukimtazama usoni paka huyu unamuona jinsi alivyojawa na mashaka na wasi Wasi mwingi