I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Jul 8, 2018 #1 Hakika Kombe Hili limekua Gumu Kutabiri Mpaka Huyu Mtabiri Aliyefikiriwa Kutabiri Mechi Ameshindwa Kabisa, tofauti na yule pweza waujerumani kipindi kile Na hata ukimtazama usoni paka huyu unamuona jinsi alivyojawa na mashaka na wasi Wasi mwingi
Hakika Kombe Hili limekua Gumu Kutabiri Mpaka Huyu Mtabiri Aliyefikiriwa Kutabiri Mechi Ameshindwa Kabisa, tofauti na yule pweza waujerumani kipindi kile Na hata ukimtazama usoni paka huyu unamuona jinsi alivyojawa na mashaka na wasi Wasi mwingi
Sauda JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 860 Reaction score 1,106 Jul 10, 2018 #2 Paka ni Paka na Pweza ni Pweza mkuu!
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Jul 10, 2018 #3 Yule pweza angekuwepo kipindi hiki watu wasingechana mikeka