Yule Robot wa Kukuliwaza Kaongezewa Akili, Ukimzingua Akupi Menu Ipasavyo

Yule Robot wa Kukuliwaza Kaongezewa Akili, Ukimzingua Akupi Menu Ipasavyo

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾‍♂️.

samantha-sex-robot-update.jpeg
Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili yake ambapo ataweza kukupuuza au kutokukupa ushirikiano wa kutosha mkiwa eneo la kujivinjali.

Endapo atagundua kuwa mtumiaji wake (mumewe)😄 ni mkali sana au akihisi kuchoshwa na tabia ya kupenda ngono sana wale wanaozira unaweza chepuka sababu atakupa mchezo ila anakuwa kama gogo 😆.

Dk. Sergi Santos ambaye ndiye ali'muumba' Samantha alizindua kipengele hicho kipya katika Kituo cha Sayansi ya Maisha huko Newcastle, Uingereza mapema wiki hii.

Santos anasema aliunda kipengele kipya kwa msisitizo wa mkewe.
 
Back
Top Bottom