Yule Robot wa Kukuliwaza Kaongezewa Akili, Ukimzingua Akupi Menu Ipasavyo

Ondoa nen
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia in 28 days 🙆🏾‍♂️.

Huyu 'dada robot' anaitwa Samantha sasa atakuwa na emotional mpya kwenye akili yake ambapo ataweza kukupuuza au kutokukupa ushirikiano wa kutosha mkiwa eneo la kujivinjali.

Endapo atagundua kuwa mtumiaji wake (mumewe)😄 ni mkali sana au akihisi kuchoshwa na tabia ya kupenda ngono sana wale wanaozira unaweza chepuka sababu atakupa mchezo ila anakuwa kama gogo 😆.

Dk. Sergi Santos ambaye ndiye ali'muumba' Samantha alizindua kipengele hicho kipya katika Kituo cha Sayansi ya Maisha huko Newcastle, Uingereza mapema wiki hii.

Santos anasema aliunda kipengele kipya kwa msisitizo wa mkewe.
Ondoa neno kuumba, weka kutengeneza au kufinyanga. The one and only wa kuumba ni Mungu tu.

Anyway, je anatoa ndogo
 
swalii swaliii.....
uliza,,,,,,,

anachajiwa kama cm ,yan anajaa kwanza then ndo anatumika,au wakati wa matumiz unaeka waya kwenye socket!?,,,kama jibu ni hilo la pili kwa umeme huu wa tz unaokata mda wowote,vipi ukate katkat ya shoo!?😁

Nawasilisha
 
Yaani mie niugegede mdoli 🤣😂, bora niugegede mkono wangu tu.
 
swalii swaliii.....
uliza,,,,,,,

anachajiwa kama cm ,yan anajaa kwanza then ndo anatumika,au wakati wa matumiz unaeka waya kwenye socket!?,,,kama jibu ni hilo la pili kwa umeme huu wa tz unaokata mda wowote,vipi ukate katkat ya shoo!?😁

Nawasilisha
Mara waya unalose kidogo, DUDUKILA linapigwa shoti 😂🤣.

Lakini sie wakulima, tunakula michembe kwa asali na tangawizi, ni show show, vipi chaji ikimuishia wakati mie bado nataka mzigo.

Yote 9 anaweza kula koni vizuri kama betty kanga moja ama ashura kichupi mkononi?
 
Hahahaha 😂 😂 😂 mara doli lina handle bao mbili tu,,nawewe ni wa 5 kuendelea uuuuweeeeh,, mbona mtateseka sana
 
Kumekuchaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ondoa nen

Ondoa neno kuumba, weka kutengeneza au kufinyanga. The one and only wa kuumba ni Mungu tu.
Unaposoma jaribu kuangalia vitu vidogo vidogo kama "-" au '°°' vina maana sana!.

Kwenye neno kuumba kuna ' je, upo?.
 
Ndio hapo
Hahahaha 😂 😂 😂 mara doli lina handle bao mbili tu,,nawewe ni wa 5 kuendelea uuuuweeeeh,, mbona mtateseka sana
Ndio hapo, inapobidi mdoli uutafutie mchepuko, (yaani ununue doli jingine la ziada)

Kika kitu kikizidi ni changamoto, akili zinazidi watu wanawehuka wanataka kuigegeda midori.
 
Hahahaha nmecheka jamani 😂 😂 😂 😂 😂 😂 umewaza mbali,,eti mchepuko 🙌🏾🙌🏾
 
Ndio hapo
Hahahaha 😂 😂 😂 mara doli lina handle bao mbili tu,,nawewe ni wa 5 kuendelea uuuuweeeeh,, mbona mtateseka sana
Ndio hapo, inapobidi mdoli uutafutie mchepuko, (yaani ununue doli jingine la ziada)

Kika kitu kikizidi ni changamoto, akili zinazidi watu wanawehuka wanataka kuigegeda midori.
 
Ndio hapo

Ndio hapo, inapobidi mdoli uutafutie mchepuko, (yaani ununue doli jingine la ziada)

Kika kitu kikizidi ni changamoto, akili zinazidi watu wanawehuka wanataka kuigegeda midori.
Dunia ngumu hii
 
😂😂 Dr mbona kama mchawi fulani mwenye wivu wa maendeleo kwa vijana?
 
Hivi roboti wa Nape atakuwa wapi sasa hivi au kamuacha ofisini?
 
Hivi inawezekana yupo mwanaume rijali asiyependa kula nyama akapenda kula plastic?!

Hata kama kila mtu huwa ana chaguo lake ila kwa mambo mengine tusidanganyane.
Sasa anaependa kula nyama atapendaje tena kula toy.

Wapenda toy na nyeto pia wapo, hao ndo walengwa wakuu.
 
Back
Top Bottom