ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kuhama vilabu ni kigezo dhaifu, point ni uwezo. Huko kote alikocheza CR 7, Messi kutamshinda nini ikiwa CR 7 kaweza?Ronaldo ni jemedari la vita vya soka... Kapigana ureno akaenda man united akaenda madrid na sasa juve!!
Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
Ifike wakat tuwe wakweli bana.Tofauti na scoring,ni kipi ronaldo anaweza mfikia messi kwa sasa? Tukianz na dribbling,passing ,assisting ,playmaking eeh ,ni kipi asa?.Hii point ya ronaldo kucheza timu nying ni dhaifu sana.Tuaangalie nini mtu anafanya on Field ,na sio mambo ya kuhama timu..ibanezafrica
Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.
Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
umevuta bangi za wapi?? Messi ana miaka mingapi unajua?? tuanzie hapo.. kwamba Ronaldo kampita Messi miaka mingapi??Yan messi akiwa na miaka 34 sjui ka atafanya vtu anvofny ronaldo kw sasa.uyo messi wenu anfield alfanya nn?ronaldo atletico alwafanya nn?acheni ushbk maandz,juz katmiza goli700..yan untk ronaldo acheze vle vle kama alvyokua ana miaka 18??pathetic
Kampita miaka miwili.. Messi 32 na Ronaldo 34 ..umevuta bangi za wapi?? Messi ana miaka mingapi unajua?? tuanzie hapo.. kwamba Ronaldo kampita Messi miaka mingapi??
safi kuna tofauti gani hapo?? huoni hao ni rika moja??Kampita miaka miwili.. Messi 32 na Ronaldo 34 ..
Ona hapa Messi anavyopiga miti mume wa Man Uibanezafrica
Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.
Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
ibanezafrica
Ronaldo ni jemedari la vita vya soka. Kapigana Ureno akaenda Man United akaenda Madrid na sasa Juve.
Mesi kacheza klabu gani na gani? Maana ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa vita alivyopigana.
Hujui soccer wewe. mwenye magoli mengi kati ya Huyo Mess na Ronaldo ktk UEFA CHAMPION LEAGUE? Hebu weka idadi ya magoli yao UJIONEE MWENYEWE. Tatizo lako umeanza kufatilia UEFA This yearUtofauti mkubwa wa wachezaji hawa huwa upo wazi lakini watu wanaletaga ushabiki mbele badala ya uhalisia.
Siku zote mtu mpime nini anafanya uwanjani...halafu linganisha na huyo mwingine nini anafanya.
Jana tumeshuhudia game ya Juve, UEFA
Leo tutashuhudia game ya Barcelona
Hebu oneni tofauti kubwa kati ya watu hawa wawili kiuwezo katika creativity, speed & accuracy - achilia mbali scoring.
wewe jamaa ni wa ajabu yaani huoni tofaut ya 32 na 34 ? penzi kitovu cha uzembesafi kuna tofauti gani hapo?? huoni hao ni rika moja??
kwanza Messi atakuwa na 33 sio 32[emoji848][emoji848][emoji848]